Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

Nendeni tu baadhi ya balozi za nchi ya kusadikika muone namna hata officers wa kawaida wanavyokunja dolari na wamekaa wanazungusha viti tu maofisini. Mfano, unajua yule binti mrembo wa Geneva analipwa ngapi..?, na wengine wengi tu
Hiyo hela inakua kubwa ukilinganisha na mishahara na maisha ya bongo, ila hakuna ubishi kwa international standards hasa anakoenda kufanya kazi ni pesa kidogo.
Hapa simuongelei Ndugulile mbunge wa Kigamboni namuongelea Ndugulile Regional director wa WHO,
hapo hapo WHO kuna kazi zinatangazwa kila siku remuneration ni kuanzia USD 96K annually, nimeshangaa sana na huo mshahara, na bado siamini, lakini kupanga ni kuchagua sisi kama watanzania tunampongeza kwa kututoa kimasomaso hasa kwa nafasi ambayo hatukuwahi kuipata kwa zaidi ya miaka 70 toka kuanzishwa kwake, nimtakie kila la kheri, dunia ni ya Mungu, pesa makaratasi(alisikika mlevi mmoja akisema)
 
Watu wana vichwa vigumu kuelewa.... Mshahara wa milioni 30 kwa mwezi ni mkubwa sana kwa mtanzania wa kawaida...

Mshahara wa milioni 30 kwa MTU km Dungulile ni mdogo.....
Hii ni concept ndogo ila watu wanachanganya mafaili kichwani.
Ndugulile mwenyewe alieomba hio kazi kakubali terms ila wewe ambae kuna uwezekano mkubwa hio30m kwa mwaka hupati unasema ni ndogo.
 
Habari za asubuhi wanajamvi

Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake

Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.

Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.

Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?

Inategemea anaishi nchi gani na kodi zikoje. Maisha ya huku Ugaibuni ni gharama sana kwasababu kiwango cha mahitaji kama afya, barabara, usafi na makazi bora yanategemea kodi Hivyo kuna bima nyingi sana.
 
Shangaa India ambaye ni Giant kiuchumi mkuu wake wa nchi ameachwa mbali sana mara mbili na ushee ila niamini mimi Hiyo pesa bado ndogo sana kwa mzigo anauchukua mama ushungi.
Waziri mkuu wa India siyo mkuu wa nchi,ni mkuu wa serikali.Mkuu wa nchi(state) au dola la India ni rais.
 
Watu wana vichwa vigumu kuelewa.... Mshahara wa milioni 30 kwa mwezi ni mkubwa sana kwa mtanzania wa kawaida...

Mshahara wa milioni 30 kwa MTU km Dungulile ni mdogo.....
Hii ni concept ndogo ila watu wanachanganya mafaili kichwani.
What?

Mshahara wa shilingi milioni 30 kwa mwezi ni mdogo kwa huyo Ndugulile?

Wow!
 
Mkuu sasa kwa mtu km Dungulile alikua waziri + mbunge so kwa kukadilia alikua analamba milioni 30+ kwa mwezi,sasa kupata hiyo milion 30 huko WHO ina maajabu Gani?
 
Habari za asubuhi wanajamvi

Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake

Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.

Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.

Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
Wabongo wanawaza hela tu badala ya Ufanisi
 
Watani wa Tsh. 30m kila mwezi. Hii mfanyakazi wa TRA pale Bandarini akiiamulia ni chapu kidogo ana ipata. Nchi hii ngumu sana.
 
Habari za asubuhi wanajamvi

Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya wafanyakazi wake

Nadhani by now, kila mtu atakuwa anafahamu kuwa Dkt Faustine Ndugulile amechaguliwa kuwa Regional Director wa WHO hapa barani Afrika.

Soma pia: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Sasa kubwa ni kuwa Ndugulile akiwa pale WHO atakuwa analipwa US$ 134 266 sawa na Tshs Milioni 364 kwa mwaka, kiasi ambacho hata Waziri Mkuu wa India haingizi kwa mwaka kwani waziri mkuu wa wa India anaingiza takribani USD 66,000 kwa mwaka accroding to Wikipedia na mtandao wa Jagranjosh.

Vipi wewe Mtanzania mwenzangu unaingiza kiasi gani kwa mwaka mzima?
hii ni hela ndogo sana kwa nchi zilizoendelea. ya mtu wa kawaida.
 
Mmmmhhh hiyo ni kama $ 11,100 kwa mwezi, mbona mshahara wa kawaida sana huo for International Organisation, hata kazi za kitaalam nje ya Tanzania kama Surgeon, Pilots, Software Engineers mbona huo mshahara wa kawaida mno mno..!!
 
Kwanini umefananisha na PM wa India na sio CEO wa Vodacom Tanzania, CEO's WA makampuni ya mafuta na madini, kwanini usimfananishe na CEO wa Emirates au Boeing au Airbus,, kwanini sio CEO wa DP world.

milioni 360 hiyo ni 30mil/month, wale wakurugenzi wa mashirika yetu hapa mbona tuliambiwa walikuwa wanalipwa 35mil/month?
 
Back
Top Bottom