Mshahara wa Dkt. Ndugulile akishaanza kazi WHO ni noma. Rais wa India akasome

Salary scale for the Professional and higher categories:
Annual gross salaries and net equivalents after application of staff assessment
In US dollars - effective 1 January 2023

Mhe anapa kati ya ASG na D-2
USG - Gross 212,632
Net - USD 155,837
ASG - USD Gross 193,080
Net - USD 142,933
D-2 - USD Gross 154,212
Note: ASG ni Assistance Secretary General

Hapo haijajumisha Post Adjustment ambapo kwa kituo chake ni around 60% ya Mshahara wake
 
Huo mshahara ni noma? Mbona wa kawaida Sana

NB; mm Sina huo mshahara, Ila huo sio sahihi kusema ni mshahara mnono kulinganisha na nafasi yake. Bongo wapo wakurugenzi wa taasisi wanachukua kama huo. Hata diplomats wetu wanachukua kama huo
 
Mbona kawaida sana
 
Uchumi wetu ndio unafanya hiyo hela iwe nyingi ila kwa mfano kenya hiyo ni kama 1.5mKsh kwa mwezi
Wakati kenya kuna watu wa kawaida kwenye biashara wanalaza 5mKsh kwa mwezi
 
Nikajua B moja kwa mwaka, kumbe m. 360 tu. Kidogo sana kwa mwaka mzima kwa hicho cheo.
 
Kwa anazo ingiza Lucas Mwashamba hizi mbona kidogo sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…