Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Huu uzi mara nyingi utauona unakua updated kuanzia tarehe 20 hivi mpaka 27 baada ya hapo wale wale waliokua wanalia lia hapa wanahamia kula kimasihara na uzi wa pombe mbali mblai wa mshana ikifika tarehe 10-17 hivi haooo wanahamia kwenye siasa wanatoa hasira zao weeee ukichanganya na kufulia sasa wanakua wakali wakali tuuu πŸ˜…πŸ˜…
 
 
Jamani wajeda vipi akaunti zenyu zimeshasoma... mtuambie sababu nyie ndo mnaanzishiwaga mapema kabla ya sie wengine wa halmashauri
 
Nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…