Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Mi chapombe ukitoka j3 itakua poa.Aisee wasifanye ivo. Tutakaa kinyonge
Mbinu za kivita hizi.Nitaweka PDF yoyote tu. Maana zile activities moja moja ukianza kuweka attachment utachoka. Nani ata download asome kwanza.
Mkuu kajaze chap utie 100. Mtandao umecheza ukitupia 100 bila attachment mazaga yanaenda kwa Boss.Nilijaza. Full 90% hapa nasubiri alhamis ijayo naweka 100% HOD anapitisha tu ata hasomi. Nchi ngumu sana. Bora opras ya makaratasi alikua anatubana. Hii inamzidia. Nimekuta ofisi flani hod anawapa password ya account yake wajipitishie.
Zipo mkuu, ila ni zile ambazo hazikua targeted Japan kama soko, mfano unanunua Subaru iliouzwa US au UK ndio inakua na above 180 km/h.Mi chapombe ukitoka j3 itakua poa.
Mkuu nina shwali nimejaribu kwenye google sijapata jibu. Kuna subaru forester inaenda 260kph ni model ipi kama unajua?
Kesho jmos namaliza. Liwalo na liweMkuu kajaze chap utie 100. Mtandao umecheza ukitupia 100 bila attachment mazaga yanaenda kwa Boss.
Asante ngoja niwasiliane na beforward mkuu nataka kuchukua chuma ya at least kuanzia 2015 ila sitaki ya 180kph.Zipo mkuu, ila ni zile ambazo hazikua targeted Japan kama soko, mfano unanunua Subaru iliouzwa US au UK ndio inakua na above 180 km/h.
Mwaka 1988, magari yote ya JDM (Japan Domestic Market) waliakua kulimit speed iishie 180kph na power mwisho 270hp kwaajili ya usalama. Atleast kidogo hp walikuja kuongeza kidogo miaka ya 200 sikumbuki ipo ngapi ila speed wameshikiria pale pale.
Ndio maana watu wanajiulizaga gari kama Crown kuishia 180kph ni kubaniwa, ndio ivo.
Hahashaa tutakupotezaAsante ngoja niwasiliane na beforward mkuu nataka kuchukua chuma ya at least kuanzia 2015 ila sitaki ya 180kph.
Nataka nikitoka ubungo saa 12 aubuhi. Saa sita nipo kwa mrombo nakula mbusi!!!
Sadaka tutatoa nn kesho?Jumatatu kuanzia Saa mbili asubuhi
Try salary advanceSadaka tutatoa nn kesho?
Wanajeshi teyari.Mshahara bado, usiamke.
Yeah wamewekewa muda siyo mrefu. Nimeona kwa wife hapaWanajeshi teyari.
Watumishi wengine labda baadae.Yeah wamewekewa muda siyo mrefu. Nimeona kwa wife hapa
Sisi tuendelee kuwa wapole kidogo.Watumishi wengine labda baadae.
Leo? Salary Advance 3 days tokea mshahara uingine ishaisha.Try salary advance
Leo msipikeYeah wamewekewa muda siyo mrefu. Nimeona kwa wife hapa