Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Nilijaza. Full 90% hapa nasubiri alhamis ijayo naweka 100% HOD anapitisha tu ata hasomi. Nchi ngumu sana. Bora opras ya makaratasi alikua anatubana. Hii inamzidia. Nimekuta ofisi flani hod anawapa password ya account yake wajipitishie.
Mkuu kajaze chap utie 100. Mtandao umecheza ukitupia 100 bila attachment mazaga yanaenda kwa Boss.
 
Mi chapombe ukitoka j3 itakua poa.

Mkuu nina shwali nimejaribu kwenye google sijapata jibu. Kuna subaru forester inaenda 260kph ni model ipi kama unajua?
Zipo mkuu, ila ni zile ambazo hazikua targeted Japan kama soko, mfano unanunua Subaru iliouzwa US au UK ndio inakua na above 180 km/h.

Mwaka 1988, magari yote ya JDM (Japan Domestic Market) waliamua kulimit speed iishie 180kph na power mwisho 270hp kwaajili ya usalama. Atleast kidogo hp walikuja kuongeza kidogo miaka ya 2000 sikumbuki ipo ngapi ila speed wameshikiria pale pale.

Ndio maana watu wanajiulizaga gari kama Crown kuishia 180kph ni kubaniwa, ndio ivo.
 
Zipo mkuu, ila ni zile ambazo hazikua targeted Japan kama soko, mfano unanunua Subaru iliouzwa US au UK ndio inakua na above 180 km/h.

Mwaka 1988, magari yote ya JDM (Japan Domestic Market) waliakua kulimit speed iishie 180kph na power mwisho 270hp kwaajili ya usalama. Atleast kidogo hp walikuja kuongeza kidogo miaka ya 200 sikumbuki ipo ngapi ila speed wameshikiria pale pale.

Ndio maana watu wanajiulizaga gari kama Crown kuishia 180kph ni kubaniwa, ndio ivo.
Asante ngoja niwasiliane na beforward mkuu nataka kuchukua chuma ya at least kuanzia 2015 ila sitaki ya 180kph.

Nataka nikitoka ubungo saa 12 aubuhi. Saa sita nipo kwa mrombo nakula mbusi!!!
 
Back
Top Bottom