Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 1,119
- 4,156
Shida sio PEPMIS mkuu wengine tulishafunga na na 100% ila akaunti zimenuna tuwe na subraMi sikujaza PEPMIS nn?
Shida sio PEPMIS mkuu wengine tulishafunga na na 100% ila akaunti zimenuna tuwe na subraMi sikujaza PEPMIS nn?
1.75mHivi,daraja la G take home ni ngapi kwa walimu?
1,735,000/=Hivi,daraja la G take home ni ngapi kwa walimu?
Mkuu washauri hao akina Samia angalau watoe mshahara angalau mara nne kwa mwezi ili uzi uwe una trend mara nyingi uzidi kufurahi.Huu uzi huwa unanifurahisha sana. Baada ya mshahara uzi unatulia.
Hahhaaa mshahara mara nne kwa mwezi?Mkuu washauri hao akina Samia angalau watoe mshahara angalau mara nne kwa mwezi ili uzi uwe una trend mara nyingi uzidi kufurahi.
Mkuu, mzigo umeingiaShida sio PEPMIS mkuu wengine tulishafunga na na 100% ila akaunti zimenuna tuwe na subra
G1 ni Tshs 1,254,000/= G2 1,277,000/=.Hivi,daraja la G take home ni ngapi kwa walimu?
Hiyo ni basic mkuu, anataka take home.1.75m
F ni 1,300,000 G Inakuaje 1,254,000G1 ni Tshs 1,254,000/= G2 1,277,000/=.
Utapata zamu yko ikifikaaaBila bila
Acha uongoG1 ni Tshs 1,254,000/= G2 1,277,000/=.
Ni kweli take home ndio hiyo elewa take home sio basic maana basic yake kwa G1 1,735,000Acha uongo
Hpo sawa mkuuNi kweli take home ndio hiyo elewa take home sio basic maana basic yake kwa G1 1,735,000