Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Tunaheshimiana sana na ww mkuu. Naomba nihakukikishie tafadhali.
Tayari Mkuu imesoma kwangu benki ya makabwela NMB .... Lakini benki zingine naona Bado hasa CRDB nnao wafahamu Bado ... Kesho haivuki....
 
Sasa mtu anakwambia kitu tayari wewe unabisha, mishahara imeruhusiwa mchana, kwa wenye madeni tuliona hilo kupitia ess kwamba marejesho ya mwezi yamefanyika, ila ile take home imeingia saa 1800hrs,

Kama wewe bado subiri itakua halmashauri yenu ilichelewesha dokezo.
 
Tayari Mkuu imesoma kwangu benki ya makabwela NMB .... Lakini benki zingine naona Bado hasa CRDB nnao wafahamu Bado ... Kesho haivuki....
Pamoja. Ngoja tusubirie basi. Sio mbaya leo uhakika wa kula upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…