Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Vipi huko nyongeza ya Mama ipo au ndio tumechinjiwa Baharini!! , pamoja na kuambiwa Raisi atanena jambo nyongeza mishahara.
 
Nimeelewa sasa.
Mkuu mimi post yangu haina kupanda madaraja. Japo naweza panda cheo.....
Mkuu Cheo na Daraja unajua maana Yake??
Kuna Cheo cha Muundo na cheo cha Madaraka..

Cheo Kisichopanda ni Cheo cha Madaraka kama Mkuu wa wilaya, Mkurugenzi, Mganga Mkuu,Mkuu wa Mkoa, Ras, Das ila wengine wote WanaVyeo vya Muundo ambavyo Vimepatikana kwa Elimu Yao hivyo Hubadilika kila baada ya Muda fulani..na Cheo.kikibadilika Basi daraja hubadilika pia ..

Unless uniambia Wewe ni Mteuzi wa Rais au Upo kwenye Nafasi nilizotaja
 
Mkuu sipo hapo kwenye uteuzi. Cheo changu ni cha muundo kama ulivyosema na hupanda tu ukiongeza elimu na si kupita kwa muda...

Kwangu hata miaka 15 unaweza kuwa pale pale. In fact nipo kwenye cheo changu cha sasa tangu 2015!

Mshahara unaongezeka pale kukiwa na increment au mishahara ikipandishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…