0-0Mmepokea salary? Mbona uzi umekimbiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0-0Mmepokea salary? Mbona uzi umekimbiwa?
Haina shida , nimepokea mkuuNisamehe mkuu, nimekosa mimi. Nimefuta reply.
Ila watu mna gubu
Ni haki yetu kuulzia mishahara maana kazi tunafanya
Mnataka wote tuwe wajasiriamali kweli?!
Hakuna nyongeza Mzee ..... Ni mwendo wa mnyooosho tu ....Tukutane tar 22 July kudai nyongeza
Payroll zimesainiwa jana ...hii ni kukaa Kwa kutulia tuliiiiiiiiii...... Hakuna nyongeza Mzee ..ila Kuna watu wamepenya kwenye madaraja wamepandishwa......Halmashauri inachelewa boss
Hakuna ongezeko we Mzee....labda upande daraja... increments hakuna ....CRDB hadi sasa bila bila. Sahivi kuna ungezeko la mishahara tutafidia hasira.
Acha basi kutuumiza mioyoHakuna ongezeko we Mzee....labda upande daraja... increments hakuna ....
Nakwambia buraza ....utashangazwa..... Haijaongezeka hata mia mbovu...Acha basi kutuumiza mioyo
Rudisha Ile avatar yako ya Mwanzo kwanzapakukopa pameisha
Halmashauri maisha magumu sanaHalmashauri inachelewa boss
Lakini walio pandishwa madaraja ni wengi.Nakwambia buraza ....utashangazwa..... Haijaongezeka hata mia mbovu...
Vipi wale wanaosubiria change of scheme of serviceNakwambia buraza ....utashangazwa..... Haijaongezeka hata mia mbovu...
Chapa kazi huku ukimtanguliza MunguVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Hakika .... Idara yetu tu Kilimo watumishi 64 wamepanda 27 wengine tulipanda mwaka jana ...hatuna deni waliotakiwa kupanda wamepanda wote.....Lakini walio pandishwa madaraja ni wengi.
Scheme of service katika angle ipi Mkuu ... Scheme of service ni eneo pana ...be specific Kuna remuneration, kujiendeleza kielimu, increments, kupanda madaraja, kubadilishiwa kada ...Sasa sijui unaongelea kipi....Vipi wale wanaosubiria change of scheme of service
Leo mkeka una tick