Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Misahara haki yenu ila mnatakiwa kujitambu, jembe na nyudo haikuja bure ,wenda Mw Nyerere alipo lala anawashanga sana na kuwache ,nchi hii msingi mkuuu upo chini ya wafanyakazi na wakulima wala sio mafisadi kupitia biashara za kitapeli tapeli
Ila watu mna gubu
Ni haki yetu kuulzia mishahara maana kazi tunafanya
Mnataka wote tuwe wajasiriamali kweli?!
 
Halmashauri inachelewa boss
Halmashauri maisha magumu sana

Kwetu kuna waajiriwa wale Wa mkataba , mshahara wa mwezi wa 6 holaaa , wa saba nao ndo huu mpaka utakata hamna kitu

Yaani Mishahara ya miezi 2 holaa
 
Vipi wale wanaosubiria change of scheme of service
Scheme of service katika angle ipi Mkuu ... Scheme of service ni eneo pana ...be specific Kuna remuneration, kujiendeleza kielimu, increments, kupanda madaraja, kubadilishiwa kada ...Sasa sijui unaongelea kipi....
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom