Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Polee Mkuu Japo Ni ishu isiyo kawaida Sana..
Maana Kila fani wana Daraja..
Kuna wale wataanza bila daraja ila wanakuwa Senior baadae Principal..

Ambayo ni Daraja la mwisho kwao...
Na kuna wale wenye madaraja ya Namba kama daraja la pili au Daraja la tatu...

Eniwei Inawezekana Mkuu Japo nilitamani Kujifunza Zaidi maana Nimepitia Ikama yote Ya halmashauri, Mikoa na serikali kuu..

Na Pia nimepitia Sheria ya Seniority at First appointment iliyosimamiwa na Kanuni za Kudumu za utumishi wa Umma ya mwaka 2009..

Mara nyingi vyeo visivyopanda madaraja ni only Political services na Ni vyeo vya madaraka..

Labda kama ni Temporary Appointee, au Ni superlative Substantive posts,..

au Upo Kwenye Parastatal??
Maana Huko Ni mpaka Uende Kozi fulani ndo upande Mshahara na Daraja (Sasa Nimeelewa Unaweza ukawa hapa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…