Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mshahara utoke tu maana kitimoto na ugali tamu sanaPayroll mpaka leo wakuu wa idara hawajasign...Kibubu cha Mama kina mashaka
Mwaka wa fedhaPayroll mpaka leo wakuu wa idara hawajasign...Kibubu cha Mama kina mashaka
Nawe utacheka
Mshahara mpaka jumatatu
mama yupi, mama Abduli?
172000Kwa Daraja F Huwa inaongezeka ngapi vile net isiyo na makato!!?
Nenda ukiwa njiani Sms itaingia hakika🤣🤣🤣🤣Nijulisheni wakuu niende mjini saa hii
wewe ni chawa! ? wake
Utoke uelekee wapiKwani mshahara umetoka
So ni sifa?Hakika .... Idara yetu tu Kilimo watumishi 64 wamepanda 27 wengine tulipanda mwaka jana ...hatuna deni waliotakiwa kupanda wamepanda wote.....
Aiseee wewe ni chawa pro pro max
kweli?CRDB mchongo umetema
Sio kweli, labda kwa taasisi yenu.kweli?
Wewe si hukujaza PEPMIS aisee,huwezi kupata.Sio kweli, labda kwa taasisi yenu.
Mimi kwangu bado