spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Tena bleed ya three days only, ikikata ndo mpk mwezi ujao tena 😂😂Huu uzi kama period unatrend kwa mwez mara moja
Vipi tayari huko?Huu uzi kama period unatrend kwa mwez mara moja
Hawezi jibuVipi tayari huko?
Uku kwetu tayariVipi tayari huko?
Uchovu tu wa kuangalia salio mara kwa maraMji umepooza
kwetu wapi huko mkuu?Uku kwetu tayari
Taasisi ambayo almost wote tunalipwa CRDBkwetu wapi huko mkuu?
okayTaasisi ambayo almost wote tunalipwa CRDB
Tunawazoom kwa mbalii ukitoka tu na sisi tunapotea18 people are here. 😅
Deni la benk au Loan boardMishahara ishatoka tayari 100% me nimejua hivyo baada ya kuangalia via ESS nimeona deni langu limepungau😁
Pia hakuna ongezeko lolote lile labda ni Kwa waliopanda madaraja
Matumizi mabaya ya essMishahara ishatoka tayari 100% me nimejua hivyo baada ya kuangalia via ESS nimeona deni langu limepungau😁
Pia hakuna ongezeko lolote lile labda ni Kwa waliopanda madaraja
Watu wanachungulia hafu wanasepa.18 people are here. 😅