Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Mkuu, leo mbona umeanza uwongo. Hauwagi hivi kabisa.Mishahara ishatoka tayari 100% me nimejua hivyo baada ya kuangalia via ESS nimeona deni langu limepungau😁
Pia hakuna ongezeko lolote lile labda ni Kwa waliopanda madaraja