Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
.
mshahara ni kesho MkuuNipo hapa maeneo ya bank naongea na mlinzi tangu asubuhi, vipi huko tayari?
Leo nitaishije sasa mkuu?mshahara ni kesho Mkuu
Kesho bossNgoja nisikilizie siku ya leo inaweza ikawa ya matumaini Mama akashare tabasam na watumishi wa umma
We si huwa unaishi porini?? Ulisema huhitaji cashLeo nitaishije sasa mkuu?
Una wake wangapi jamaaWatakuwa wamefanya la maana, kwa sababu na ukweni bado wanadai mahari yao.
Mke mmoja halali, wengine wasaidiziUna wake wangapi jamaa
kula nyasi siku moja haufiLeo nitaishije sasa mkuu?
Una wasaidizi wangapiMke mmoja halali, wengine wasaidizi
Daah MamdogoShida nyie kina ba mdogo mnahonga mpaka akiba😅😅😅
Leo nitaishije sasa mkuu?
Wachungaji wangu hawataki mazao, wanataka hela ili waniombeeWe si huwa unaishi porini?? Ulisema huhitaji cash
Wote wanalia njaa huku mkuuWeka bond simu mkuu
wengi sana, halafu wote wanangojea meseji ya mshahara.Una wasaidizi wangapi
Nyasi gani nzuri za kula?kula nyasi siku moja haufi
Ngoja tujipe matumaini mkuuKesho boss
Kaka usiondoke, badoNipo hapa maeneo ya bank naongea na mlinzi tangu asubuhi, vipi huko tayari?
Mzee wa CRDB nakuamini kwa update. Nikisikiaga crdb tayari from you huwa najisogeza maeneo ya vitu virefu!Kaka usiondoke, bado