Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ni jokes za watu ila hakuna uhalisia
Hapana sikumaanisha wanaotaka hela zao wana hali mbaya huyo niliyemqoute ni shabiki wa Man united...ndo nilikuwa namwambia wana hali mbaya kwa kufungwa tena..
 
Naomba unipe Elimu Mamdogo hili jambo libanitesa sana tarehe 15 hadi ifike tarehe 23 yaan kende zishakuwa nyekunduu kwa kubana aiseeeh


Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako
Shida nyie kina ba mdogo mnahonga mpaka akiba😅😅😅
 
Back
Top Bottom