Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
UnatoboaNime bakiza 20k tu sijui kma natoboa
UnatoboaNime bakiza 20k tu sijui kma natoboa
Gold Tani?Maadamu tumeuza tani 30 za Au kwa waarabu na mpunga umeishaingia hazina, ni uhakika kwamba, wafanyakazi wote wa "serekale" tutawalipa mishahara na madai yao yote ijumaa 23/10/2026.
Source:
Fiscal disimbursement office
Ndiyo Tani 30 au kilo 30,000.Gold Tani?
Kibingwa sio?Unatoboa
Madhara ya kusoma soft science 😅🤣😂Ndiyo Tani 30 au kilo 30,000.
Madhara ya kusoma ngwini ndiyo hayo sasa. Hujui hata Tani ni kitu gani.
Mimi sijawahi kosa na uzuri mshahara unanikuta baaHuu huzi ni mimi na Poker ndio wahudhuriaji wakuu kwa miezi hii mitatu ya mwisho😅
Mimi ilikua hivyo hapo kabla sahizi vipengele ni chungu mzimaMimi sijawahi kosa na uzuri mshahara unanikuta baa
Ijumaa uhakika sanaMimi ilikua hivyo hapo kabla sahizi vipengele ni chungu mzima
😅🤣😂Ni mwendo wa mshiko fasta tu
Na iyo ni kma ulev uki zoea huachiNi mwendo wa mshiko fasta tu
😁😁😁😁 Nimezoea carat masta.Ndiyo Tani 30 au kilo 30,000.
Madhara ya kusoma ngwini ndiyo hayo sasa. Hujui hata Tani ni kitu gani.
Ijumaa mbali sanaIjumaa uhakika sana
Inategemea ntu na ntuaHivi mnashindwaje kupangilia hela zenu na vipaumbele vyenu...yani ikifika trh 20 tuu watu mmeshachoka vibaya mnoo
😄kweliInategemea ntu na ntu
Unajua, pesa ukiingia ishapigiwa hesabu, inaenda kuziba zina vigepu, mishahara yenyewe hii yenye koma moja ,*/= hamna kitu😄kweli