Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wakuuu vp huko? Leo nimetembea kwa miguu mpaka kizunguzungu. Huu mchana nimegongea chakula cha shkamo kwa masela, mtaani nadaiwa kila kona.
Kuna kila dalili ya kulala machakani na kifurushi leo ndio kinaisha.
 
Maadamu tumeuza tani 30 za Au kwa waarabu na mpunga umeishaingia hazina, ni uhakika kwamba, wafanyakazi wote wa "serekale" tutawalipa mishahara na madai yao yote ijumaa 23/10/2026.

Source:
Fiscal disimbursement office
 
Back
Top Bottom