Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Somo gumu sana hilo....
Na ana takiwa apate mtu ambaye yupo nae sambamba kma yupo harmashaur bas ampate mwizie amueleweshe vyema mpaka kutoboa

Mtu upo kwenye taasisi ukimshauri wa halmashaur ni anaon kama una mtusi
 
Hapana jamani...shida hata mashamba siku hizi yanamilikiwa na matajiri na ndo wanafaidi zamani unajiendea kulima unalisha familia bila shida..elimu bure kila kitu kipo rahisi..ila zama hizi ni kutesa watoto tuu
Ndio mtoto akomae zamani watoto walikuwa wanategemea cha baba now watoto ndio wanategemewa na wazee wao na asipo saidia lawama
 
Back
Top Bottom