Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mkuu huo ushauri uliotoa af if hawana mipango/budgeting... Jamaa amekujibu hivyo kwa sababu kuna watu wakiona issues ya ku demand mshahara utoke wao wana-term kama waajiriwa hawana mipango kumbe mipango wanayo ila wanautaka mshahara coz ni haki yao na ni moja ya mipango yao.
Mbona mmepanick jamani...fanyeni budgeting itasaidia kupunguza stress ndogo ndogo 😆😆😆😆
 
Huu uzi ndio natia mguu leo.
Mara paap naona post yako.
How are you?
Its like tunajuana
Dooh kwamba umenisahau hapa jukwaani au its like tunajuana mtaani 😃😃
Au kwa sbb nilipoteaa
Am fine uran mwana Simba mwenzangu
 
Back
Top Bottom