Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

AIse kumbe siku mbili nyingi sana kwenye kusubiri hela.
Kesho nakosa mafuta ya kuendea kazini na leo nimekula michemsho tu
 
Back
Top Bottom