Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hivi nikidoji miez mitatu kazini bila ruhsa naweza sitishiwa mshahara
Hebu kuwa serious na kazi mkuu kama unasababu ya msingi miezi yote haupo kazini si uombe tu likizo la Bila malipo ukafanye mambo yako ukikalisha urudi

MIezi mi3 bila sababu maalamu kweli!?
 
Back
Top Bottom