DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mkuu uko active sana kwenye huu Uzi... Salary ikitoka unapotea ILA tarehe zikikaribia account yako inaji-log in automatically bila we kujua.Hahahahaa mi nakomaa ivo ivo
Acha tu mkuu, labda mods waufute huu uziMkuu uko active sana kwenye huu Uzi... Salary ikitoka unapotea ILA tarehe zikikaribia account yako inaji-log in automatically bila we kujua.
Nimeona nifike tu ghetto uhakika leo n mdogo sanaNipo hapa natafuna mahindi ya kuchoma mkuu
Pole MkuuMajirani wana shughuli leo naona ndio nitaponea hapa otherwise nilikua nalala njaa leo. Ngoja tuone.
Story ndefu. Ila jibu fupi hapa nna mia mbili tu ya dawa za mbu nataka nikanunue. Nnavyotoka ndio nitajichekesha kwa majirani wanifikirie.Pole Mkuu
Haukuwa na akiba kabisa?
Pole MkuuStory ndefu. Ila jibu fupi hapa nna mia mbili tu ya dawa za mbu nataka nikanunue. Nnavyotoka ndio nitajichekesha kwa majirani wanifikirie.
Haya madini. Nitaanza na viccoba sio songesha.Pole Mkuu
Wakati mwingine tengeneza undugu na Songesha
Ama uanze kucheza Vikoba ili ukikwama kama hivyo unampigia Kijumbe anakubusti na 100k fasta 🤗
Hahaha.............hata hiyo itasaidia 🤗Haya madini. Nitaanza na viccoba sio songesha.
Mwanaume kucheza vicoba ni umamaHaya madini. Nitaanza na viccoba sio songesha.
Duh 🤗🏃🏃Mwanaume kucheza vicoba ni umama
Hiyo ni meme babu😂Duh 🤗🏃🏃
Vincenzo Jr mkeep busy huyu mtu, leo nna hasira + njaaMwanaume kucheza vicoba ni umama
Songesha na hizo kukopa kwenye App kushushiana brand.Hahaha.............hata hiyo itasaidia 🤗
Msamehe ndugu yanguVincenzo Jr mkeep busy huyu mtu, leo nna hasira + njaa
Kwaheri, nitakutafuta kesho maokoto yakisoma🙄Vincenzo Jr mkeep busy huyu mtu, leo nna hasira + njaa
Ushakula block. We tulia tuKwaheri, nitakutafuta kesho maokoto yakisoma🙄
Afisa wa tra auKabisa mkuu, Daah Yani mpunga naokatwa ni mshahara wa Afisa entry level😅😅😅
Inawezekana mkuu😅🦟Afisa wa tra au