Na kuna watu wanaingia humu kucheka tuHuu Uzi kuna comedy mno 😂 😂 😂
Hahah Uzi mzuri huuNa kuna watu wanaingia humu kucheka tu
Kuna mchanganyiko wote humu mkuu, wapo hadi wa serikali kuuUzi wa wafanyakazi wa halmashauri na walimu
Hatuna hizo njaaKuna mchanganyiko wote humu mkuu, wapo hadi wa serikali kuu
Usingechungulia Uzi mkuuHatuna hizo njaa
Sio kweli.Uzi wa wafanyakazi wa halmashauri na walimu
Elfu 60 kwa wiki! Inatoka wapi kwa salon zilivyotapakaa hivyo na zinashindana kwa ubora wa hudumaHahaha........kwamba Riba za Songesha ni kubwa kuliko Salary advance??
Nashauri ajifunze ujasiriamali, afungue hata Saluni ya kiume ya kawaida ili Kijana awe anamletea hata 60k Kwa wiki itamsaidia kumpiga tafu nyakati ngumu kama hizo
Sasa hivi ni saa tano kasoro dakika 22Kabla ya saa tano asubuhi
Saa tano bado mkuu, muda si mrefu.Sasa hivi ni saa tano kasoro dakika 22
Eheheheh 🤣 🤣 🤣Sasa hivi ni saa tano kasoro dakika 22
Mkuu usijali kuhusu ushindani, tafuta Kinyozi mzuri atakuletea hiyo 60 ama 50k Kwa wiki.Elfu 60 kwa wiki! Inatoka wapi kwa salon zilivyotapakaa hivyo na zinashindana kwa ubora wa huduma
Mtaji unakadiria kiasi gani kiongozi.Mkuu usijali kuhusu ushindani, tafuta Kinyozi mzuri atakuletea hiyo 60 ama 50k Kwa wiki.
Mimi Kuna sehemu nimemfungulia waifu kwaajili ya kupata hela zake za kuchezea Vikoba.
Kwahiyo anaisimamia yeye mwenyewe ili kuhakikisha anapata hela za kuchezea mchezo wake
Umewashwa Nini kuchungulia huku?. Au ndo jobless?.Hatuna hizo njaa
umefata nini humu, au hiki ni kimvuli chako. au wewe ni serikali kuu ya buza kwa mpalange mkuu.Hatuna hizo njaa
Na bado Timu yao inakabia juu 🙌🙌Ngoma bado naona gv wanaongoza goli moja dakika nazo zinataradadi.