Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hahaha........kwamba Riba za Songesha ni kubwa kuliko Salary advance??

Nashauri ajifunze ujasiriamali, afungue hata Saluni ya kiume ya kawaida ili Kijana awe anamletea hata 60k Kwa wiki itamsaidia kumpiga tafu nyakati ngumu kama hizo
Elfu 60 kwa wiki! Inatoka wapi kwa salon zilivyotapakaa hivyo na zinashindana kwa ubora wa huduma
 
Mkuu usijali kuhusu ushindani, tafuta Kinyozi mzuri atakuletea hiyo 60 ama 50k Kwa wiki.

Mimi Kuna sehemu nimemfungulia waifu kwaajili ya kupata hela zake za kuchezea Vikoba.

Kwahiyo anaisimamia yeye mwenyewe ili kuhakikisha anapata hela za kuchezea mchezo wake
 
Mtaji unakadiria kiasi gani kiongozi.
 
Back
Top Bottom