Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
12:29Wako bize na kizimkazi
Sofa, Vioo, Feni, viti, mashine za kunyolea, sabuni, accessories zote Kwa Saluni ya kawaida nilitumia 3.8 MilioniMtaji unakadiria kiasi gani kiongozi.
Ilisoma tokea janaLeo uhakika ktk ESS salary slip ishasoma
sawa, leo mgodi unasomaIlisoma tokea jana
Pamoja mkuu, maana nimeshaweka oda ya nyama kilo mbili Leo.😅sawa, leo mgodi unasoma
Yah nimecheck nw nimeonaLeo uhakika ktk ESS salary slip ishasoma
bado bank kubonyeza ile batan mesej ziingie sasa hiviYah nimecheck nw nimeona
Acha kuturusha roho wewe watu tuna madeni tumeahidi kulipa leoLeo uwongo tujaribu kesho
Annual increments wameweka?Yah nimecheck nw nimeona
Samahani wakuu, hivi salary slip ikishawekwa kwenye mfumo inaweza kubadilishwa? Maana nilitegemea kupanda daraja mwezi huu lakini salary slip imeshaingia haina mabadiliko yoyote. HRO kaniambia muda huu kuwa kuna kitu walisahau kukiweka sawa hivyo eti nisubiri nitapanda tu!Leo uhakika ktk ESS salary slip ishasoma
Haibadiliki alafu listi ya malipo imeshaandaliwa, kuhusu kupanda subiria labda mwezi ujaoSamahani wakuu, hivi salary slip ikishawekwa kwenye mfumo inaweza kubadilishwa? Maana nilitegemea kupanda daraja mwezi huu lakini salary slip imeshaingia haina mabadiliko yoyote. HRO kaniambia muda huu kuwa kuna kitu walisahau kukiweka sawa hivyo eti nisubiri nitapanda tu!
Hahahaha huku badoComments zinaonyesha civil servants Wana hali mbaya kiuchumi+ madeni.
Mimi nipo shirika linalohudumia wakimbizi, tulishalipwa tangu Jana.