Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Leo uhakika ktk ESS salary slip ishasoma
Samahani wakuu, hivi salary slip ikishawekwa kwenye mfumo inaweza kubadilishwa? Maana nilitegemea kupanda daraja mwezi huu lakini salary slip imeshaingia haina mabadiliko yoyote. HRO kaniambia muda huu kuwa kuna kitu walisahau kukiweka sawa hivyo eti nisubiri nitapanda tu!
 
Haibadiliki alafu listi ya malipo imeshaandaliwa, kuhusu kupanda subiria labda mwezi ujao
 
Back
Top Bottom