Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Uwa wanawahi lakini naona tunasugua nao benchi.
Wajeda wamelipwa jana mkuu. Mida ya saa nane mchana hivi,mimi shuhuda wa hilo..maana wife ni mjeda pia. Sisi wa Tamisemi bado 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…