Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mzee siku hizi hamuishi kwa posho tena?Six figures ngumu sana kukutana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee siku hizi hamuishi kwa posho tena?Six figures ngumu sana kukutana.
Bado mkuuHivi hata Wajeda mpaka leo nao bado?
Ofisini kwetu imekatwa, napewa ya kulaza gari, kuosha na emergency haifiki 250k kwa mwezi.Mzee siku hizi hamuishi kwa posho tena?
Duh wataweza sasa kulinda inchi kesho tar 23.Bado mkuu
Uwa wanawahi lakini naona tunasugua nao benchi.Hivi hata Wajeda mpaka leo nao bado?
Kwani mishahara imeacha kukutana siku hizi wana JF?
jw ilikuwa Zaman kuwai ila now wote 23 net ndio wanaanza pokea lesheni ndio naonaga inawai kuliko mshaharaUwa wanawahi lakini naona tunasugua nao benchi.
tukopeshe tunakufaa njaakazi kweli kweli
Kwahiyo kesho uhakika?jw ilikuwa Zaman kuwai ila now wote 23 net ndio wanaanza pokea lesheni ndio naonaga inawai kuliko mshahara
Ila naona umepata tuzo, natumai linaambatana na kitita cha pesa.Ofisini kwetu imekatwa, napewa ya kulaza gari, kuosha na emergency haifiki 250k kwa mwezi.
toshekeni na mishahara yenuboss
tukopeshe tunakufaa njaa
Huwezi tosheka na kisichotoshatoshekeni na mishahara yenu
Sisi recognition tu, kitita story of change. Wangenijaza pesa kwanza ningekaa kimya kama week hivi.Ila naona umepata tuzo, natumai linaambatana na kitita cha pesa.
Hapo sawa mkuu, ila kesho mambo yanaanza kuwa safiSisi recognition tu, kitita story of change. Wangenijaza pesa kwanza ningekaa kimya kama week hivi.
Ila kuna kitu inabidi nifanye, maisha yananinyoosha. Hii mishahara sio kabisa.Hapo sawa mkuu, ila kesho mambo yanaanza kuwa safi
Mishahara peke yake ni changamoto sana, yaani muhimu sana kuwa na kasehemu kanaingiza hata faida ya 10K kwa siku, hapo unatoboa vizuri kabisa. Ila hii ya mwezi kwa mwezi tunaishi kama kunguru tu.Ila kuna kitu inabidi nifanye, maisha yananinyoosha. Hii mishahara sio kabisa.
Jana nimeangalia movie zaidi ya 10. Kupoteza time.Mishahara peke yake ni changamoto sana, yaani muhimu sana kuwa na kasehemu kanaingiza hata faida ya 10K kwa siku, hapo unatoboa vizuri kabisa. Ila hii ya mwezi kwa mwezi tunaishi kama kunguru tu.
Wajeda wamelipwa jana mkuu. Mida ya saa nane mchana hivi,mimi shuhuda wa hilo..maana wife ni mjeda pia. Sisi wa Tamisemi bado 😀Uwa wanawahi lakini naona tunasugua nao benchi.