Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Serikali wapeni watumishi stahiki yao ya Annual increment kama ilivyo kwenye mikataba.Mpaka mwezi huu unaisha hawajapata hii haki yao ya msingi.
Ninyi huko mnaneemeka na kujipa kila stahiki kwa jinsi mnavyotaka.
Mama Samia hii ni dhuluma kubwa,hata Mungu hapendi.Mtapigwa mapigo saba na Mungu

β€ŠMalalamiko Ya watu haya tangu miezi 2 iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…