Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahaha........kwani si wote tunakuwa tumezeeka, hizo nguvu za kuhangaika na dogodogo unadhani tunazo basi 😜Nyie si mnaenda kuhonga? Mama atahakikisha kila kitu kiko sawa hapo home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha........kwani si wote tunakuwa tumezeeka, hizo nguvu za kuhangaika na dogodogo unadhani tunazo basi 😜Nyie si mnaenda kuhonga? Mama atahakikisha kila kitu kiko sawa hapo home
Mnakosema mnaenda kurejeshewa ujana ?Hahaha........kwani si wote tunakuwa tumezeeka, hizo nguvu za kuhangaika na dogodogo unadhani tunazo basi 😜
Hahaha.................ili azidi kunisimanga 🤗Ndo ukae na mama vizuri
Hahaha........mambo ya kwenda kuogeshwa kwenye jakuzi pamoja na kukandwa mwili sio 😜Mnakosema mnaenda kurejeshewa ujana ?
Nimeona huu uzi, nikakukumbuka 😄😄😄😄 maana huu ni uzi wako. Shimo litatema muda si mrefu 😉Mzigo tayari nini niende ATM? Hali sio nzuri.
Likitema tu uzi unafungwa. Tumechagua wenyewe wacha tusome namba.Nimeona huu uzi, nikakukumbuka 😄😄😄😄 maana huu ni uzi wako. Shimo litatema muda si mrefu 😉
mzigo bado mpaka tarehe 24Mzigo tayari nini niende ATM? Hali sio nzuri.
J4 hiyo? Duh.mzigo bado mpaka tarehe 24
waendelee kuongeza mikopo ya mahitaji yao madukaniAkina Mad Max Wana huo uvumilivu kusubiri hadi Jumanne? 😜
uzuri j4 mapema tu ngoma saa 3 mpaka 5 asubuhiJ4 hiyo? Duh.
Kesho nitakua ghetto job nitaenda j5.
Dah, haina shida tutasubiriauzuri j4 mapema tu ngoma saa 3 mpaka 5 asubuhi
Hahaha.............itafikia wakati wakienda Dukani jamaa anafunga duka lakewaendelee kuongeza mikopo ya mahitaji yao madukani
Nimehamia mtaa mpya, sikopesheki.waendelee kuongeza mikopo ya mahitaji yao madukani
Kuna daftari letu aisee.Hahaha.............itafikia wakati wakienda Dukani jamaa anafunga duka lake
Hatari sana Mkuu 😅Kuna daftari letu aisee.