Sema this time nitakua na heshima. Nimeishi kama kuku.Dah, we kiboko kweli kweli.
Bora iwe hivyo mkuu, yaani kama ni kweli basi bora uwe na heshima ya hicho kidogo unachokipata. Sasa tena kesho unaanza na supu asubuhi, alafu umwagilie moyo kidogoSema this time nitakua na heshima. Nimeishi kama kuku.
Nishawahi apia mshahara sinywei bia. Labda posho na michongo mingine.Bora iwe hivyo mkuu, yaani kama ni kweli basi bora uwe na heshima ya hicho kidogo unachokipata. Sasa tena kesho unaanza na supu asubuhi, alafu umwagilie moyo kidogo
Hapo sawa mkuuNishawahi apia mshahara sinywei bia. Labda posho na michongo mingine.
tugawane boss 😁Sema this time nitakua na heshima. Nimeishi kama kuku.
Hahahaaa acha basi boss..tugawane boss 😁
Bank gani? CRDB unyamaMshahara wangu haujangia hadi dakika hii jmn, vip nyie umesoma?? Saa 5:57 usiku
maliza kwenye mbususHahahaaa acha basi boss..
Hahaha hapa nawaza pakuche.. sema huu mwezi sikua na madeni sanaaga mm nisha
maliza kwenye mbusus
umejitahidiHahaha hapa nawaza pakuche.. sema huu mwezi sikua na madeni sana
Hauko serious!! Njoo kitambaa kuna nyama za kwenye foilHahaha hapa nawaza pakuche.. sema huu mwezi sikua na madeni sana
Nna mwanangu mmoja kesho namblock. Ye unaweza ukamwambia nipo nasubiria misa ya saa 4 akakuambia "kwahiyo hizi bia nigawe"!?Hauko serious!! Njoo kitambaa kuna nyama za kwenye foil
Yaani wajamaa wanapenda kutuweka presha juuHii mpya.. naona mzigo wameutupia usiku huu😂🙌
Maandamano!! Polisi tangu juzi wanapiga ukunga kama ambulanceHii mpya.. naona mzigo wameutupia usiku huu[emoji23][emoji119]
NmbBank gani? CRDB unyama
Nmb mambo badoBank gani? CRDB unyama
wasikudanganye. hao hao watumish ikifika anataka garNimecheka unajua dah hivi naweza kupiga hela??