Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Acha uwongo ndugu. Mbona kama una wivu hivi na watumishi wa umma. Serikali haijawahi lipa mshahara kuzidi tarehe 30, kipindi cha mkapa ndio ilikuwa inafika29, alipoingia JK ni 23.

Halafu ni hivii, serikali haingalii mwezi uliopita walilipa lini.

Sisi watumishi tunajua kuna weekends ambazo serikali na mabenki haifanyi kazi, hivyo tarehe 22, 21 , 23, zikiangukia weekend tunajua wazi mshahara hauwezi kutoka.

Hapa tunasubiri leo jioni ama kesho uhakika zaidi

So kama wewe uliacha kazi achana na mambo ya watumishi, kwani unawadai?
Na kaniita pimbi aisee,ujinga wa vijana na ujuaji ni tatizo kubwa .mtu kukubali hajui kitu anaona bora hata adanganye nchi ngumu sana hii
 
Back
Top Bottom