Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Inashangaza sana.Huwa nashangaa mtu anadai aliacha kazi au kajiajiri ila bado anateseka na mambo ya watumishi🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana.Huwa nashangaa mtu anadai aliacha kazi au kajiajiri ila bado anateseka na mambo ya watumishi🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Matusi ya nini tena kama una maisha mazuri kwanini ushinde na sisi humu kwenye huu uzi wa watumishi wenye maisha magumu nenda kwenye nyuzi zinazokufaa.Nina maisha mazuri kuliko wewe uliejaa madeni na mikopo Kila Kona, unawaza ujinga tu. Au unaliwa na wabunge?
Punguza uchawi jombaa kafanye yako.Maskini wameridhika na umaskini. Natamani ata mishahara yenu isitishwe ata miezi mitatu ili muwe na akili.
We dogo upo 😐
Sweden ya Namtumbo hahahahahahaSemeni kama umesoma. Kuna mtumishi namdai anasema nimvumilie mambo bado , Mimi nipo sweden je ni kweli mama enu hajawakumbuka?
Na kaniita pimbi aisee,ujinga wa vijana na ujuaji ni tatizo kubwa .mtu kukubali hajui kitu anaona bora hata adanganye nchi ngumu sana hiiAcha uwongo ndugu. Mbona kama una wivu hivi na watumishi wa umma. Serikali haijawahi lipa mshahara kuzidi tarehe 30, kipindi cha mkapa ndio ilikuwa inafika29, alipoingia JK ni 23.
Halafu ni hivii, serikali haingalii mwezi uliopita walilipa lini.
Sisi watumishi tunajua kuna weekends ambazo serikali na mabenki haifanyi kazi, hivyo tarehe 22, 21 , 23, zikiangukia weekend tunajua wazi mshahara hauwezi kutoka.
Hapa tunasubiri leo jioni ama kesho uhakika zaidi
So kama wewe uliacha kazi achana na mambo ya watumishi, kwani unawadai?
Anzishia uzi mwingine hiyo mada, hapa tunajadili mshaharaNi vyema ukaanzisha ujasiliamali mdogomdogo usitegemee mshahara
Subira imekatika.Vuteni subira