Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 621
- 1,298
Unaonekana unamsongo wa mawazo wewe dadaJinga kweli baki na akili yako ya ki upinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana unamsongo wa mawazo wewe dadaJinga kweli baki na akili yako ya ki upinde
Aya nmeanza kazi tarehe 15 mwisho wa mwezi wangu ni lini we pumbi? Izo siku 30?Wewe maandazi mbona mgumu kuelewa kama shipa, Mwisho wa mwezi hauangaliwi mara ya mwisho ulipokea lini mshahara wako zinahesabiwa kwa siku za mwezi kawaida.
utalipwa hizo tarehe 15 ulizo fanya kazi baada ya hapo utaanza kulipwa kawaidaKwa iyo ukianza kazi tarehe 15 mwisho wa mwezi ni tarehe 30 ulipwe😂😂😂
Engineer mwenye kampuni yangu mawazo nitoe kwenye pumbu zakoUnaonekana unamsongo wa mawazo wewe dada
we kinabo mwisho wa mwezi wako ni tarehe 30 utalipwa kwa siku hizo ulizofanya kazi kama kwa siku ni 1,000×15=15,000Aya nmeanza kazi tarehe 15 mwisho wa mwezi wangu ni lini we pumbi? Izo siku 30?
Jaribu kufatilia Gavoo kama wanamalipo ya kipimbi kama hayoutalipwa hizo tarehe 15 ulizo fanya kazi baada ya hapo utaanza kulipwa kawaida
Uliza serikali kama wana malipo ya siku 15we kinabo mwisho wa mwezi wako ni tarehe 30 utalipwa kwa siku hizo ulizofanya kazi kama kwa siku ni 1,000×15=15,000
Serikali Hayo malipo hawanaUliza serikali kama wana malipo ya siku 15
Kipindi gani hiko? Labda wakat wanapokelea dirishani kwa muhasibu.... na kilicho fanyika mkuu wa taasisi analetewa Fedha yeye anazungushia thn baada ya wik anawapa noti yenu,,,, mm nimeajiriwa 2014 juni sijawah kupokea mshahara tofaut na tar 19 mpaka 24Wewe pimbi, serikali inatumia ihsani kulipa watumishi hiyo tarehe 23 ndio maana kabla ya Magufuli wakatimwengine watumishi walikua wanaenda mpaka tarehe toka nimeajiriwa 2014 jun sijawah kuona mshahara umefika tar 5 labda Enzi zile wanapokelea kwa muhasibu, na walichokua wanafanya hua walikua wanazungushia then ndo wana walipa... usitudanganye,,,, pia sio hisani tar 23 mpaka tar 23 ni siku 30.... ndio maana tunataka iwe inaliba kila baada ya siku 15 kama inch za wenzetu zilizo endelea
Sasa kama hawana nmekwambia watumishi 23August walipokea mshahara so it means 23 September today ndo mwisho wa mwezi wao,simple tu.sizungumziii mashirika (NGOs),Wala makampuniSerikali Hayo malipo hawana
Kesho watumishi watapata mishahara yaoSasa kama hawana nmekwambia watumishi 23August walipokea mshahara so it means 23 September today ndo mwisho wa mwezi wao,simple tu.sizungumziii mashirika (NGOs),Wala makampuni
UTUMWA. Wenzio wabunge wana mishahara mara 20 ya wakwako. Watoto wanasoma vizuri, hawana mikopo kichaaz, familia zinatibiwa nje. Wapo CCM. Wenzenu wakitaka watoke mnawaona wabaya, mnawatetea watesi wenu. Embu ona jitu zima linalia mtandaoni mishahara ambao haukai ata wiki. Pesa ambayo anahongwa demu ya vocha. Watanzania ni matakataka tu.Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
Achana na huyo taahira hakuna anachojua.... Siku nyingine uki-note mtu ni taahira usimjibu mkuu...Sasa kama hawana nmekwambia watumishi 23August walipokea mshahara so it means 23 September today ndo mwisho wa mwezi wao,simple tu.sizungumziii mashirika (NGOs),Wala makampuni
Huko vipi?
Unamaana watumishi walipwe kama wabunge?UTUMWA. Wenzio wabunge wana mishahara mara 20 ya wakwako. Watoto wanasoma vizuri, hawana mikopo kichaaz, familia zinatibiwa nje. Wapo CCM. Wenzenu wakitaka watoke mnawaona wabaya, mnawatetea watesi wenu. Embu ona jitu zima linalia mtandaoni mishahara ambao haukai ata wiki. Pesa ambayo anahongwa demu ya vocha. Watanzania ni matakataka tu.
Asante mkuu ni nmebishana na mtu mwehu kumbeAchana na huyo taahira hakuna anachojua.... Siku nyingine uki-note mtu ni taahira usimjibu mkuu...
Una shida ya comprehension!? Wapi umeona nimesema Hilo suala!? Kwani wabunge wa Tanzania wanafanya Jambo gani la ajabu? Sheria za hovyo zinapitishwa yapo tu, utekaji, mauaji, wapo kimya. Kwanza hawastahili ata kulipwa. Wao wametaka kutuwakilisha. Nchi zilizoendelea mfano Scandinavia, yani wanafanya wito. Sio banana republic hizi, eti mbunge anamzidi daktari ela. Ushuzi mtupu.Unamaana watumishi walipwe kama wabunge?
Acha uwongo ndugu. Mbona kama una wivu hivi na watumishi wa umma. Serikali haijawahi lipa mshahara kuzidi tarehe 30, kipindi cha mkapa ndio ilikuwa inafika29, alipoingia JK ni 23.Wewe pimbi, serikali inatumia ihsani kulipa watumishi hiyo tarehe 23 ndio maana kabla ya Magufuli wakatimwengine watumishi walikua wanaenda mpaka tarehe 5 hawajapokea kitu