Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wewe maandazi mbona mgumu kuelewa kama shipa, Mwisho wa mwezi hauangaliwi mara ya mwisho ulipokea lini mshahara wako zinahesabiwa kwa siku za mwezi kawaida.
Aya nmeanza kazi tarehe 15 mwisho wa mwezi wangu ni lini we pumbi? Izo siku 30?
 
Wewe pimbi, serikali inatumia ihsani kulipa watumishi hiyo tarehe 23 ndio maana kabla ya Magufuli wakatimwengine watumishi walikua wanaenda mpaka tarehe toka nimeajiriwa 2014 jun sijawah kuona mshahara umefika tar 5 labda Enzi zile wanapokelea kwa muhasibu, na walichokua wanafanya hua walikua wanazungushia then ndo wana walipa... usitudanganye,,,, pia sio hisani tar 23 mpaka tar 23 ni siku 30.... ndio maana tunataka iwe inaliba kila baada ya siku 15 kama inch za wenzetu zilizo endelea
Kipindi gani hiko? Labda wakat wanapokelea dirishani kwa muhasibu.... na kilicho fanyika mkuu wa taasisi analetewa Fedha yeye anazungushia thn baada ya wik anawapa noti yenu,,,, mm nimeajiriwa 2014 juni sijawah kupokea mshahara tofaut na tar 19 mpaka 24
 
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
UTUMWA. Wenzio wabunge wana mishahara mara 20 ya wakwako. Watoto wanasoma vizuri, hawana mikopo kichaaz, familia zinatibiwa nje. Wapo CCM. Wenzenu wakitaka watoke mnawaona wabaya, mnawatetea watesi wenu. Embu ona jitu zima linalia mtandaoni mishahara ambao haukai ata wiki. Pesa ambayo anahongwa demu ya vocha. Watanzania ni matakataka tu.
 
UTUMWA. Wenzio wabunge wana mishahara mara 20 ya wakwako. Watoto wanasoma vizuri, hawana mikopo kichaaz, familia zinatibiwa nje. Wapo CCM. Wenzenu wakitaka watoke mnawaona wabaya, mnawatetea watesi wenu. Embu ona jitu zima linalia mtandaoni mishahara ambao haukai ata wiki. Pesa ambayo anahongwa demu ya vocha. Watanzania ni matakataka tu.
Unamaana watumishi walipwe kama wabunge?
 
Kazi umeanza 2014 mi nmeacha 2010 na kujiajili haya ngoja nikuachie ujuaji wewe,🙏
 
Unamaana watumishi walipwe kama wabunge?
Una shida ya comprehension!? Wapi umeona nimesema Hilo suala!? Kwani wabunge wa Tanzania wanafanya Jambo gani la ajabu? Sheria za hovyo zinapitishwa yapo tu, utekaji, mauaji, wapo kimya. Kwanza hawastahili ata kulipwa. Wao wametaka kutuwakilisha. Nchi zilizoendelea mfano Scandinavia, yani wanafanya wito. Sio banana republic hizi, eti mbunge anamzidi daktari ela. Ushuzi mtupu.
 
Wewe pimbi, serikali inatumia ihsani kulipa watumishi hiyo tarehe 23 ndio maana kabla ya Magufuli wakatimwengine watumishi walikua wanaenda mpaka tarehe 5 hawajapokea kitu
Acha uwongo ndugu. Mbona kama una wivu hivi na watumishi wa umma. Serikali haijawahi lipa mshahara kuzidi tarehe 30, kipindi cha mkapa ndio ilikuwa inafika29, alipoingia JK ni 23.

Halafu ni hivii, serikali haingalii mwezi uliopita walilipa lini.

Sisi watumishi tunajua kuna weekends ambazo serikali na mabenki haifanyi kazi, hivyo tarehe 22, 21 , 23, zikiangukia weekend tunajua wazi mshahara hauwezi kutoka.

Hapa tunasubiri leo jioni ama kesho uhakika zaidi

So kama wewe uliacha kazi achana na mambo ya watumishi, kwani unawadai?
 
Back
Top Bottom