Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

miaka ya 70s nakumbuka niliwahi kuacha mshahara kwa miezi 8 wakati nakwenda kuchukua kipindi hiko hakuna kuwekewa bank unakuta cash yako kwa mafungu wewe ni kusaini miezi,yule mama alinishanga sana na kuniuliza ulikua unaishi vipi nilimjibu nimepangwa kijijini nakula ndizi na matunda kisha nikaondoka
 
miaka ya 70s nakumbuka niliwahi kuacha mshahara kwa miezi 8 wakati nakwenda kuchukua yule mama alinishanga sana na kuniuliza ulikua unaishi vipi nilimjibu nimepangwa kijijini nakula ndizi na matunda kisha nikaondoka
Hahahaa mlikua mnachukua dirishani
 
Ili la kuchelewesha mshahara inabidi tulifanyie maandamano Leo Leo...
"Mshahara utalipwa kwa kila mwisho wa mwezi husika" hivi ndivyo mkataba wako unavyosema hivyo mwisho wa mwezi sio tarehe 23 ila ni 30 mshahara kuupata tarehe 23 ni ihsani tu ya serikali.

Vumilia mshahara wako kesho utaupata ndio tunamalizia kuprocess
 
Jinga sana wewe ,mwisho wa mwezi ni trh 30 ikiwa na maana unakaa siku 30 toka uchukue mshahara wa mwisho,watumishi walipokea 23 if not mistaken so ikizidi hapo inazidi mwisho wa mwezi
 
lakin tunafanya kazi ni halali yetu mkuu au tunakosea?
Wanataka ufanye kazi uweke makalio pondi kwa p diddy wakati kuna kazi unaitegemea,wamejitafuta wamejipata baada ya kukosa kazi so wategemee walichowekeza
 
Jinga sana wewe ,mwisho wa mwezi ni trh 30 ikiwa na maana unakaa siku 30 toka uchukue mshahara wa mwisho,watumishi walipokea 23 if not mistaken so ikizidi hapo inazidi mwisho wa mwezi
akili huna wewe, mkataba wako unasemaje juu ya malipo yako ya mshahara.

Siku za malipo hazihesabiki kuanzia siku uliyopokea mshahara uliopita ila ni siku 30 za kuhesabu kawaida ktk mwezi
 
Jinga kweli baki na akili yako ya ki upinde
 
Kwa iyo ukianza kazi tarehe 15 mwisho wa mwezi ni tarehe 30 ulipwe😂😂😂

Back
Top Bottom