Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kua mzalendo 🤨😑😐

Naona hii ni mwezi wa kumi. Umenikumbusha jina la mheshimiwa “January Makamba ”
bi maana ukilibinua nl “funga kamba mwezi wa January “. Kuchelewa kwa mshahara sio kitu kizuri na kinatia stress, giza na hofu.
Msiwaache wafanyakazi katika hali ngumu kidini inahimiza “ mpe mtu ajira yake, kabla haijakauka jasho yake”
 
Kutegemea mshahara ni hatari sana kwa afya ya moyo.
Kutegemea mshahara pekee ni changamoto ,mmi sio mtumishi wa uma ,ila kuna watumishi nazani wanajua lazima mwisho wa mwezi mzigo utaingia so wanatumia tu bila kuwa na mkakati.

Hapa tujitahidi kuhakikisha mishahara inakutana.
 
Mkuu natembelea rim.
Fanyia kazi wazo nililokupa last time.

Ukiwa una vijiwe vyako walau 2 vikikuingizia wastani wa shilingi 20,000 Kwa Siku utakuwa una sahau habari za paymaster general 😜
 
Kizimkazi akilipa mniambie kuna zereu nmefanyiwa jana bar leo naenda kuilipa kwa heshima sana
 
uzi pendwa huu kwa watumishi wenzangu wa mama kizimkazi tuendelee kusikilizia mpaka trh 23
 
Kutegemea mshahara pekee ni changamoto ,mmi sio mtumishi wa uma ,ila kuna watumishi nazani wanajua lazima mwisho wa mwezi mzigo utaingia so wanatumia tu bila kuwa na mkakati.

Hapa tujitahidi kuhakikisha mishahara inakutana.
kwa mshahara gani kaka watanzania wengi wanalipwa chini ya 1m mshahara unakutanaje acha kuwa unaongea ongea tuu mnawwambia wafungue maduka kazini watakuwa wanaenda saa ngapi acheni mambo yenu ya dharau dharau
 
Nimeona hapo juu mtu anasema mshahara utoke anazitumbue starehe na mademu ,lakini nina marafiki zangu niwatumishi, wao wanatumbua wakisema mshahara mdogo bora wanywee pombe tu . sio wote lakini .

Sijadharau mkuu. nimesema kuna umuhimu wa kuweka mkakati kujikwamua ,mbona wengine wanafanya hata biashara fulani fulani huku wamekopa na wanapiga hatua bila kutegemea salary? so ni mkakati tu lasivyo itakuwa hali hio hio
 
Back
Top Bottom