green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Fungua miradi midogo midogo hata ya kukuingizia kipato cha Tsh 20000 kwa siku utaacha kufufua huu uzi kila mwisho mwezi...Leo usimwage maharage.....kesho tembea na kadiHivi kesho mama anaweza fanya maajabu?
Kua mzalendo 🤨😑😐
20k kwa siku sio mradi mdogo man. Ujue 600k kwa mwezi iyo.Fungua miradi midogo midogo hata ya kukuingizia kipato cha Tsh 20000 kwa siku utaacha kufufua huu uzi kila mwisho mwezi...Leo usimwage maharage.....kesho tembea na kadi
Hahaha........Alhamisi ili weekend ianze vizuriAlhamis? Kua Serious kaka.
Mkuu natembelea rim.Hahaha........Alhamisi ili weekend ianze vizuri
Na hatutaki ushauri kwenye uzi wetu🤣🤣Anzishia uzi mwingine hiyo mada, hapa tunajadili mshahara
Kutegemea mshahara pekee ni changamoto ,mmi sio mtumishi wa uma ,ila kuna watumishi nazani wanajua lazima mwisho wa mwezi mzigo utaingia so wanatumia tu bila kuwa na mkakati.Kutegemea mshahara ni hatari sana kwa afya ya moyo.
🤣🤣🤣🤣 mama aupige mwingi, aokoe jahazi.Hivi kesho mama anaweza fanya maajabu?
Acha roho mbaya, mama ni msikivu sana😀Nawachora tu, watumishi wa goT, mnavyolia lia
mzigo hadi tarehe 24 au 29 baada ya uchaguzi
Kwahiyo solution ni nini Mjukuu?Babu unakuwa umehamisha matatizo tu, badala ya kuyasolve.
Fanyia kazi wazo nililokupa last time.Mkuu natembelea rim.
Babu tupate kwanza mshahara wa mwezi huu, ndio akili itafanya kazi😆Kwahiyo solution ni nini Mjukuu?
Au tufanye Kima cha Chini kuwa ni shilingi 600,000 wastani wa shilingi 20,000 Kwa Siku?
Huyo dg ndo weweKuna dogo alisema atanilipa ela yangu mshahara ukitoka. Tushtuane kikinuka.
kwa mshahara gani kaka watanzania wengi wanalipwa chini ya 1m mshahara unakutanaje acha kuwa unaongea ongea tuu mnawwambia wafungue maduka kazini watakuwa wanaenda saa ngapi acheni mambo yenu ya dharau dharauKutegemea mshahara pekee ni changamoto ,mmi sio mtumishi wa uma ,ila kuna watumishi nazani wanajua lazima mwisho wa mwezi mzigo utaingia so wanatumia tu bila kuwa na mkakati.
Hapa tujitahidi kuhakikisha mishahara inakutana.
Nimeona hapo juu mtu anasema mshahara utoke anazitumbue starehe na mademu ,lakini nina marafiki zangu niwatumishi, wao wanatumbua wakisema mshahara mdogo bora wanywee pombe tu . sio wote lakini .kwa mshahara gani kaka watanzania wengi wanalipwa chini ya 1m mshahara unakutanaje acha kuwa unaongea ongea tuu mnawwambia wafungue maduka kazini watakuwa wanaenda saa ngapi acheni mambo yenu ya dharau dharau