Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wale wa mshahara unatakiwa utoke tarehe 30 hapa ni wapi, hizi hela kwenye account yangu ni mshahara au matakor Yako!!!
Mkuu, usiwe unapoteza nguvu kubishana na watu kama wale. Wengi ni loosers. Achana nao.

Mw bado nasubiria CRDB, kila lakheri tukutane tena kuanzia July 21-25
 
Kikubwa anonymity inatubeba. Wanaotudhiaki ma jobless usiwaze man
Mimi niko private sector. Sina tarehe maalum kuanzia 23 kabla ya 28 huwa nalipwa. Hapa nazungumza niko lodge nakula per diem, hata haraka ya mshahara sina!!!!😃😃😃
 
Imetoka nusu. Wengine bado
Wenda hii kweli ,wapangaji wangu ni wafanyakazi mpaka saa nne usiku jana walikua wanaulizana kwa kulalamika sana, huko hazina wenda mambo mwezi huu sio mambo , hii ya mishahara kutoka kwa mafungu wenda ipo shida mahala
 
Mimi niko private sector. Sina tarehe maalum kuanzia 23 kabla ya 28 huwa nalipwa. Hapa nazungumza niko lodge nakula per diem, hata haraka ya mshahara sina!!!!😃😃😃
Hayo ndio maisha sasa.
 
Back
Top Bottom