Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Leo uhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IjumaaLeo uhakika
Mfumuko wa bei unatutafuna. Kila mwaka thamani halisi ya mishahara yetu inapungua.Yaani watumishi tarehe 21 tu hoi.
Vipi mliongezewa mshahara mwezi july ?
Kabisa mkuuMfumuko wa bei unatutafuna. Kila mwaka thamani halisi ya mishahara yetu inapungua.
Haa wapi mzeeYaani watumishi tarehe 21 tu hoi.
Vipi mliongezewa mshahara mwezi july ?
Inalala hivi hivi?Dakika ya 89'
Gov 0-0 watumishi.
Ahsante.
Ijumaa mbali,Wikendi itakuwa nzuri kabisa, haivuki ijumaa
Ni ijumaa au jumamosi mkuuIjumaa mbali,
Muda wetu wa kujiandaa kwenda kumwagilia moyo umewadia.Usiseme ivo aisee
Mwezi huu nyongeza ipoYaani watumishi tarehe 21 tu hoi.
Vipi mliongezewa mshahara mwezi july ?
Ukienda bar tarehe za mshahara unaoenekana una maisha magumu sana tunza pesa uwe unakunywa pombe japo bia mbili mbili kila sikuMuda wetu wa kujiandaa kwenda kumwagilia moyo umewadia.
Hadi ijumaa tutakuwa tunafurahia maisha
Hahahahaa mi nakomaa ivo ivoUkienda bar tarehe za mshahara unaoenekana una maisha magumu sana tunza pesa uwe unakunywa pombe japo bia mbili mbili kila siku
Ukienda kila siku maneno piaUkienda bar tarehe za mshahara unaoenekana una maisha magumu sana tunza pesa uwe unakunywa pombe japo bia mbili mbili kila siku
Wana mama mchakarikaji. Atakwenda kukopa hata kwa wajombaLeo nimesema niingie humu, nauonaga huu uzi kumbe ni uzi endelevu. Mara paap Serikali haina hela, hamlipwi mishahara, si mtakula cement 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bantu lady naomba vocha mimi mwalimuLeo nimesema niingie humu, nauonaga huu uzi kumbe ni uzi endelevu. Mara paap Serikali haina hela, hamlipwi mishahara, si mtakula cement 🤣🤣🤣🤣🤣🤣