Naomba niku cheki PM mkuuIjumaa mbali,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba niku cheki PM mkuuIjumaa mbali,
Ijumaa kesho lazima kiwake nikakusanye madeni yangu😀😃😃😂😂😃😃😃😃 ila watumishi mnanifurahisha sana yani tarehe ishirini tu uzi hewani yani hapa kitu mpaka jumatatu ijayo
👍Ulinzi na usalama tayari
Kweli mkuu?Ulinzi na usalama tayari
Ukweli mtupu kiongozi wanguKweli mkuu?
Mbona private nyingi tu zinazoeleweka mshahara ni tarehe 21Bora sisi private tunajua ni 30 kila mwezi
Ok, asante.Ukweli mtupu kiongozi wangu
Kweli, kuna Mjeda kanithibitishia kuwa wamepata tangu asubuhi.Ukweli mtupu kiongozi wangu
Sikuiona hii mkali. Anytime bossNaomba niku cheki PM mkuu
Naona kimya. Equation x wapi?Atakayepata ka meseji anitag tafadhali
Poa mkuuSikuiona hii mkali. Anytime boss
Mkuu aliyemwambia kipato ni sawasawa na matumizu nani!Yaani watumishi tarehe 21 tu hoi.
Vipi mliongezewa mshahara mwezi july ?
Hujaenda bank yako kuboresha taarifa mkuu, kama umeboresha ka sms kataingia tu kwa raha zake ukale bata.Atakayepata ka meseji anitag tafadhali
Jambo afande!Ulinzi na usalama tayari
Nipo hapa natafuna mahindi ya kuchoma mkuuNaona kimya. Equation x wapi?
Kabisa mkuu, Daah Yani mpunga naokatwa ni mshahara wa Afisa entry level😅😅😅makato tayari,
chungulia ess utumishi,
mzigo punde si punde