Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wasipokweka leo hakika wataniua nimebakiza 150 na kila sehemu madeni wife kakopa huko kwenye vicoba hata kutoka nje hataki, jamani mwenye 20000 anikope nitulize hizi njaa kabla ya mshahara hujatoka.
We hela yako imekufanya uwe Kitombile ndio maana haikai,punguza hizo mambo mjomba utabakiwa na hela kibao na maendeleo utayaona
 
Samahani wakuu, hivi salary slip ikishawekwa kwenye mfumo inaweza kubadilishwa? Maana nilitegemea kupanda daraja mwezi huu lakini salary slip imeshaingia haina mabadiliko yoyote. HRO kaniambia muda huu kuwa kuna kitu walisahau kukiweka sawa hivyo eti nisubiri nitapanda tu!
Tukutane mwakani mkuu.
 
Back
Top Bottom