Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PesaX, Mkopo chap chap na Mkopo mkononi wanataka chao
Nasikia chezea wote ukikopa OYA umekwishaPesaX, Mkopo chap chap na Mkopo mkononi wanataka chao
Nasikia chezea wote ukikopa OYA umekwisha
Ukiona hii gari imepaki nje ya nyumba ya mtu jua kimenukaNasikia chezea wote ukikopa OYA umekwisha
Kote huko nadaiwa🤣PesaX, Mkopo chap chap na Mkopo mkononi wanataka chao
Watulie ni salio lako unauliza sio lao🤣Bado mkali. NMB wamenipigia simu, wanaona nacheki salio x10 ndani ya saa. Wamesema watanitumia msg.
Sijawahi kopa kwenye hizo application naogopa kudaiwaNasikia chezea wote ukikopa OYA umekwisha
Mi sijawahi kudaiwa hata offline labda zile pesa ndogo ndogoKote huko nadaiwa🤣
Weeeeh mbona nakudai na hunilipi🙆♀️🙆♀️Mi sijawahi kudaiwa hata offline labda zile pesa ndogo ndogo
Mimi na mrembo kama ww hatushindwani nipe location nikuachie card ya bank na passwordWeeeeh mbona nakudai na hunilipi🙆♀️🙆♀️
IST ina seat 5 Pamoja na dereva. Ila watashuka mabonge 8 humo na bado wengine unaawaacha ndani wanaenda kushukia mbele.
Siku hizi App huwezi piga screenshot, ila digits 3 ndio zimebaki ujue.Watulie ni salio lako unauliza sio lao🤣
Ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Pale pale pa juzi🤣Mimi na mrembo kama ww hatushindwani nipe location nikuachie card ya bank na password
Ni kufokeana na watoto tu😥Mambo siyo mambo, wikend inaisha kinyonge Sana.
Nimewaambia waende wakacheze mtaa wa sita huko maana hapa Kwangu wananipigia kelele nahisi kuchanganyikiwa zaidi.Ni kufokeana na watoto tu😥