Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 892
- 683
Ulinzi mbona tumepata mapema sana.nyinyi vip kwenu uko??
Wengine kadi tumekabidhi pesa x,Kwa hiyo tupo na apps za mabenki tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine kadi tumekabidhi pesa x,Kwa hiyo tupo na apps za mabenki tu
We elewa salary ishatoka acha kuuliza kadaKada gani mkuu ww
🤣🤣Jikaze usikunyweI wish utoke juma tatu! Mshahara wa weekend unaniletea matatizo sana!
Yaani ni ngumu imagine kitu kinasoma saa moja jioni. Ila leo nitoka na buku 20 tu bila simu. Dadeki pombe ishani control🤣🤣Jikaze usikunywe
Jikaze inawezekana mkuu...Yaani ni ngumu imagine kitu kinasoma saa moja jioni. Ila leo nitoka na buku 20 tu bila simu. Dadeki pombe ishani control
Leo inawezekana, vipi kesho, vipi juma pili! Hahaha mshahara ndo maana hautoboi maana nikipata na over spend.Jikaze inawezekana mkuu...
Piga dili hapo kazini kwako ule vyuku.Mm mshahara huu sina furaha nao maana madeni kibaoooo
Ushajua tatizo nini,nimemaanisha lidhibiti tatizoLeo inawezekana, vipi kesho, vipi juma pili! Hahaha mshahara ndo maana hautoboi maana nikipata na over spend.
Ngoja tuone!Ushajua tatizo nini,nimemaanisha lidhibiti tatizo
Unaonesha ukikosa mshahara u might die.Bado dry
Acha tuUnaonesha ukikosa mshahara u might die.
NMB tayariAcha tu
Kweli?NMB tayari
NMB uhakika kweli nimeonaNMB tayari
DuhNMB uhakika kweli nimeona