Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Kama ni wakike Ujiandae watatinduliwa humo humo hoteliniMi nimewapangia hoteli kwanza vyumba viwili kwa siku 40,000 mpaka kieleweke
We jamaa unakunywa kinywaji gani? Agiza hemu umenichekesha mpaka nimetoka machozi hahahaTutolee hapa maneno ya motivational speakers......fuga kwale watatu,watataga mayai 10 kila mmoja baada ya mwezi utakua na kwale 300,.....
..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamebana wameachia. Mzigo kiganjani kwangu sasa.Umetoka ????maana nakaribia Ku dead
ππππππUZI UFUNGWE SASA. HADI TAREHE 20 APRIL.
ASANTE WAJUMBE.
UZI UFUNGWE SASA. HADI TAREHE 20 APRIL.
ASANTE WAJUMBE.
Bank gani Boss, hapa NMB, kila mtu naona imetema kuanzia waliopo wizarani, agencies na halmashauri.
πππππππππππππππ
Tajiri gani.asiyejua kuandika.Kiswahili bwana.nawe?Mbafyuuuu mnalipwa tar 24 ndioo maana mnaambiwa mjiongeze mkipigwa redanders mtakufaaa sikuhioo hioo hakikaa
Wekenii vitega uchumi MKIWA KAZINI msisubiri nssf ama ppf ndioo mfungue BIASHARA WENGINE tunajichagulua tuamke sa NGAPI MWEZI HUU NANI na NANII WANALIPA KODI...kule kijijini unaagiza tu NAOMBA kodiya MWEZI HUU nleteen mbuzi TATU MAISHA yanaenda mjipange msitegemee sanaa MSHAHARA hioo n corona endelevu