Mshahara wa Messi Pound 1.2 Million kwa wiki moja

Griezman nate hayupo mbali, hawa jamaa Wana Management mbovu sijawahi ona.

Fanya your research my friend
Messi ndo anaiingizia Barca hela nyingi..

Hawampi hela bure bure nyingi ya hizo hela ni percentage Tu ya Mikataba ambayo inamhusisha Messi..
Image rights peke yake Barca ndo wanapata hela nyingi kuliko Messi..

Do your research
 
Pengine wengi Humu hampo Aware, mshahara wa Messi ulileak Kipindi Bartomeu anaondoka na LaPorta anaingia, ilikuwa ni Big scandal mpaka watu wakatishiana kwenda Mahakamani.

Kabla ya huu mshahara kuleak watu walikuwa wanajua kina Le Bron james, Federer na wanamichezo wengine wa napiga Hela ndefu, ila kumbe vyombo vyote vikubwa hadi Forbes walikuwa wrong.

Messi Alikuwa anapata $165M kwa mwaka, gawanya kwa 52 Unapata around 3.2M usd kwa wiki.

For Comparison mkuu Barcelona kupitia Camp Nou wanapata Around Euro 147M kwenye Mapato ya uwanja, kwa msimu.

Ina maana viingilio vyote msimu mzima, ligi, Uefa, Copa etc vinalipa mshahara wa mtu mmoja tu.

Barcelona msimu wa juzi Kala hasara Euro 70M na mwaka Huu Kala Hasara Euro zaidi ya Milioni 100.

Hapa Tunavyoongea wameshawekewa Limit na LA liga ya mishahara, na wapo kwenye Hatihati ya kufilisika.

Wana Deni 1.4B ambalo ni karibia 50% ya thamani yao, wanadaiwa na Liverpool usajili wa coutinho, wanadaiwa na Ajax usajili wa Dejong etc.

Griezman anarudishwa Atletico, Coutinho, pjanic, Dembele, Umtiti, na wengine wengi pengine waachiwe huru ama wauzwe bei Chee ku punguza wage Bill.

Wana sajili wachezaji wa Bure Bure kama Aguero na Depay na wote wanakwenda kwa mishahara kidogo.

Club ina hali mbaya sana sana. Sababu ya mishahara mikubwa.
 
❗️A LOOK AT THE ECONOMIC PROFIT THAT BARCELONA HAS FROM MESSI

🔹 Barcelona sell around 2 million Messi jerseys per year, from which they earn €71M annually.

🔸 Messi’s contribution to ticket sales, media rights and sponsorships is more than double the average Barcelona player. So, Messi is worth around €145M annually.

🔹 On social medias, using Messi's figure, Barcelona earn €66M annually.

🔸 If you add all this up, you'll come to the conclusion that Barcelona win €282M per year, from Messi.

🔹 Messi's contract is 4 years long, so:
€282M x 4y = €1.128B

🔸 In 4 years, Messi earns €555M from Barcelona, while Barcelona win €1.128B from Messi, so:
€1.128B - €555M = €573M

🔹 BARCELONA HAS A PROFIT OF €573M OVER MESSI'S CONTRACT!

🔸 This doesn't include the sporting profits, or else it would have been MUCH higher!

ℹ️ Sources:
'Navigate Data Analytics' and 'Forbes'

[ tw/ @ManagingBarca ]

🗞 Newspapers won't tell you this 😉
 
Barca inamuhitaji Messi kuliko Messi anavyowahitaji Barca...

Ndo maana PSG na Man City walikuwa tayari kumlipa zaidi ya Barca
 
Muafrika ukimlipa mshahara huo sidhani kama ataweza kumaintain kiwango chake kwa muda wa miaka mitano tu
 
Na wanapambana kweli asiondoke maana la liga itaenda kufa kifo cha mende
 
Mkuu,mshahara wa Messi wa wiki moja tu kwa mfanyakazi wa kawaida atafanya kazi maisha yake yote pamoja na kiinua mgongo chake ila hatofikia kiasi cha pesa cha wiki moja tu anachopata Messi.

🤣🤣🤣🤣
Tshs. 3.84 Billions aisee sio swala dogo jamani! Per one week aisee kwahio kwa mwezi huyu jamaa ana uwezo wa kuingiza 15+ billion!
 
Muafrika ukimlipa mshahara huo sidhani kama ataweza kumaintain kiwango chake kwa muda wa miaka mitano tu
Hahahah kitachofata ni Pombe na wanawake matokeo yake msimu ukiisha wanamtoa kwenye timu! Hatunaga nidhamu ya pesa!

Haya tuliyaona kwa Hasheem Thabit vurugu za mda mfupi jamaa alikuwa anakunja 150M kila week starehe zikazidi akazalisha mademu wa kimarekani acha tu! Wakamtema NBA.
 
Now anazurura sabasaba kageuka kuwa maonyesho 😀😀 hashim daah
 
❗️A LOOK AT THE ECONOMIC PROFIT THAT BARCELONA HAS FROM MESSI

🔹 Barcelona sell around 2 million Messi jerseys per year, from which they earn €71M annually.

🔸 Messi’s contribution to ticket sales, media rights and sponsorships is more than double the average Barcelona player. So, Messi is worth around €145M annually.

🔹 On social medias, using Messi's figure, Barcelona earn €66M annually.

🔸 If you add all this up, you'll come to the conclusion that Barcelona win €282M per year, from Messi.

🔹 Messi's contract is 4 years long, so:
€282M x 4y = €1.128B

🔸 In 4 years, Messi earns €555M from Barcelona, while Barcelona win €1.128B from Messi, so:
€1.128B - €555M = €573M

🔹 BARCELONA HAS A PROFIT OF €573M OVER MESSI'S CONTRACT!

🔸 This doesn't include the sporting profits, or else it would have been MUCH higher!

ℹ️ Sources:
'Navigate Data Analytics' and 'Forbes'

[ tw/ @ManagingBarca ]

🗞 Newspapers won't tell you this 😉
nimesoma tu point ya kwanza huyo alioandika hajafanya homework yake, mauzo ya jezi hayaendi kwenye Club bali kampuni husika inayotengeneza jezi, mfano Adidas, Nike etc. hizo kampuni zinatoa fixed money kwenda kwenye club, na kiasi kidogo cha hela most of time asilimia 5 mpaka 10 ndio kinaenda kwenye club kwenye total sales ya jezi. hivyo haijalishi fulani kauza jezi kiasi gani. for the sake of discussion tu assume hizo hela zinaenda kwenye club, mahesabu hayapo hivyo kwamba mtu umeuza jezi milioni 2 basi na faida ni milioni 2, kuna wafanyakazi waliotengeneza Jezi, material, usafirishaji, kodi etc. hata wewe ukifanya biashara most of time faida ni ndogo sana compare na mtaji

tuje kwenye Ticket sales, mkuu barcelona si prison ama mbeya city, kuwe Na messi ama Kusiwe na Messi Camp nou itafurika, ile ni club kubwa na ina mashabiki wa kutosha, kusema mauzo ticket ni sababu ya Messi ni dharau, Messi akiumia uliwahi sikia Camp nou mashabiki hawajai?

na kama Hesabu za huyo jamaa zi[po sawa muulize ajibu haya maswali
1. kwanini Barcelona imepata Hasara miaka 2 mfululizo?
2. kwanini ina Bonge la deni 1.4B?
 
Mshahara kama huo mi wakinipa wiki mbili nastaafu soka
Hahahahaha sasa kwa Ulaya kule hio hela haishawishi kuacha soka! Jamaa kwa full contract ya miaka minne anatakiwa apige Tshs. trillion 1.3 hivi za kibongo!
 
Back
Top Bottom