Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Cha muhimu tu ni kuwa alimsomesha mdogo wake na kumnunulia mama nyumba Masaki 😂😂🤣Now anazurura sabasaba kageuka kuwa maonyesho 😀😀 hashim daah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha muhimu tu ni kuwa alimsomesha mdogo wake na kumnunulia mama nyumba Masaki 😂😂🤣Now anazurura sabasaba kageuka kuwa maonyesho 😀😀 hashim daah
Kesha saini mitanoNa wanapambana kweli asiondoke maana la liga itaenda kufa kifo cha mende
si PSG wala si Man city wenye uwezo wa Kumlipa Messi, labda Messi aamue kupunguza mshahara wake.Barca inamuhitaji Messi kuliko Messi anavyowahitaji Barca...
Ndo maana PSG na Man City walikuwa tayari kumlipa zaidi ya Barca
speak of the devil, kuna mtu amepost sasa hivi figure za mishaharaBarca inamuhitaji Messi kuliko Messi anavyowahitaji Barca...
Ndo maana PSG na Man City walikuwa tayari kumlipa zaidi ya Barca
Anakufa kwa coronaMuafrika ukimlipa mshahara huo sidhani kama ataweza kumaintain kiwango chake kwa muda wa miaka mitano tu
Angalia tarehe ya ulichosoma. Mshahara wake ulileak mwaka huu.hivi hiyo ni pound ipi!!??!! ya Sudan au!!?!!
According to Goal, Messi's last contract earned him a net salary of around 515,000 euros ($610,000) a week meaning his new contract would see him take home 257,000 euros ($305,000) a week.
hii ni sawa na 220,406 British St pound.
labda mi sijaelewa mleta uzi anamaanisha nini wajameni!!!! nielewesheni
Ila duh hii dunia tunaishi tofauti sana, ukiachana na hio miradi yake anayopiga hela, pound 1.2 Million a week ndio mshahara wake kwa euro ndio zinazodi zaidi ya hizo, leo bossi wako kukulipa laki 2 kwa mwezi anakuzungusha View attachment 1853499
Jamaa ushapigwa ban [emoji1]Hahahah kitachofata ni Pombe na wanawake matokeo yake msimu ukiisha wanamtoa kwenye timu! Hatunaga nidhamu ya pesa!
Haya tuliyaona kwa Hasheem Thabit vurugu za mda mfupi jamaa alikuwa anakunja 150M kila week starehe zikazidi akazalisha mademu wa kimarekani acha tu! Wakamtema NBA.
speak of the devil, kuna mtu amepost sasa hivi figure za mishahara
View attachment 1854239
hapo Unaona kwenye top 10 man U, bayern na madrid pekee ndio wanatoa Hela ndogo kwenye mishahara compare na pato la timu, even ukiongeza 120M kwenye figure zao hawamfikii Barca.
Sio mchezo, ndio nikasema hapo juu kuwa tunaishi tofauti sanaItanibdii kufanya kazi kwa miaka 274 kufikia mshahara wa Messi anaolipwa kwa wiki 1.
Ni kweli ana faida kubwa ila logic hapa ni kiasi cha mshahara na pato/thamani ya Timu.Mbona kama Chelsea ndio anaongoza kwa faida kuliko wote? Hebu nifahamishe hapo
SawaHiyo habari umeitoa kwenye tovuti za udaku, mshahara wa Messi kabla ya kushushwa kwa asilimia 50 uliko si zaidi ya 500k