na wa kwako!Ila duh hii dunia tunaishi tofauti sana, ukiachana na hio miradi yake anayopiga hela, pound 1.2 Million a week ndio mshahara wake kwa euro ndio zinazodi zaidi ya hizo, leo bossi wako kukulipa laki 2 kwa mwezi anakuzungusha View attachment 1853499
Pound mia 700 kwa week, Alhamdulillah siohabana wa kwako!
Vizazi kumi ndio vinaweza kufikia hicho kiasiNa huyo mfanyakazi akitaka aongezee mtoto wake na mjukuu wafanye kazi kweli kweli mpaka wastaafu bado hawataingiza hicho kiwango
hayo ni makubaliano aliyoingia majuzi na barca, wamepunguza mshahara wakeAngalia tarehe ya ulichosoma. Mshahara wake ulileak mwaka huu.
Kwanza Goal sio reliable source. Na tumia tu Akili mesi alipwe 257K?hayo ni makubaliano aliyoingia majuzi na barca, wamepunguza mshahara wake
Messi to sign new five-year Barcelona contract & take incredible 50% wage cut
Ruben Uria & Adria Soldevila
Last UpdatedJul 14, 2021
According to Goal, Messi's last contract earned him a net salary of around 515,000 euros ($610,000) a week meaning his new contract would see him take home 257,000 euros ($305,000) a week.
Nimeshatoka seloJamaa ushapigwa ban [emoji1]
Mod wako fasta[emoji1787][emoji1787]
Karibu. Sana bossNimeshatoka selo