Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Tunaogopa nini kuwauliza , namba si wameweka pale kwa kila mkoa ukiachia makao makuu yao dodoma? Kwa walioko mikoani ata mtu ukienda ofisi za wilaya au mkoa ukiulizia sio mbaya, hapo ndipo tutakuwa na uhakika Yesu anarudi au harudi 👀Wakuu mtu wa maji wizarani kanijibu kwamba tuwasiliane na watu wa ruwasa maana yeye inaonekana ni mtu wa wizara hausiki na ku publish vitu vya taasisi nyingine
Kwa hiyo anatushauri tuwatafute ruwasa wenyewe direct
Mtu wa wizarani katupa option nzuri kuwa tuwaulize ruwasaTunaogopa nini kuwauliza , namba si wameweka pale kwa kila mkoa ukiachia makao makuu yao dodoma? Kwa walioko mikoani ata mtu ukienda ofisi za wilaya au mkoa ukiulizia sio mbaya, hapo ndipo tutakuwa na uhakika Yesu anarudi au harudi [emoji102]
Sawa mkuuMtu wa wizarani katupa option nzuri kuwa tuwaulize ruwasa View attachment 1828501
.....Kabla hujauliza kupigiwa simu au la jiulize hili swali..
Ukiapewa nafasi kwa sasa utalipwa kwa bajeti ipi?
Lazima waandae bajeti ambayo itajumuisha posho za watakao pata nafasi.
Sasa jiongeze maana najua unajua bajeti mpya inaanza mwezi gani..
Moja kati ya sifa kuu ya mtumishi wa umma ni kutunza siri. Hiyo tarehe ya kuitwa ni siri ya wizara, na hata ukiwauliza usitarajie utapewa jibu zaidi ya hilo ulilo pewa.Mtu wa wizarani katupa option nzuri kuwa tuwaulize ruwasa View attachment 1828501
Ni sahihi mkuu lakini kiukweli watu wamekata tamaa wengi so hata morali ya kazi inashuka na ukitegemea ni kazi za kujitolea...ila naunga mkono hoja tuwe wavumilivuMoja kati ya sifa kuu ya mtumishi wa umma ni kutunza siri. Hiyo tarehe ya kuitwa ni siri ya wizara, na hata ukiwauliza usitarajie utapewa jibu zaidi ya hilo ulilo pewa.
Wao wanajua muda wao wa kutoa hizo nafasi inaweza ikawa mwezi huu au ujao au au mwakani au wakati wa uchaguzi ujao (this is Tz anything is possible)!!
Chamsingi be patient na kama mafasi zipo jua zipo na utapewa nafasi kama una vigezo.
NB: Wakati waalimu wanaomba ajira je maombi walituma shuleni au wizarani? Je nafasi zikitoka majina yanatumwa shuleni kwanza au wizara ndio inatangaza kwanza alafu ndio wanaenda shule walizo pangwa? Think!
Kutafuta kazi ni kazi na kupata kazi nako ni kazi, sasa acha kazi uone hiyo kazi.Moja kati ya sifa kuu ya mtumishi wa umma ni kutunza siri. Hiyo tarehe ya kuitwa ni siri ya wizara, na hata ukiwauliza usitarajie utapewa jibu zaidi ya hilo ulilo pewa.
Wao wanajua muda wao wa kutoa hizo nafasi inaweza ikawa mwezi huu au ujao au au mwakani au wakati wa uchaguzi ujao (this is Tz anything is possible)!!
Chamsingi be patient na kama mafasi zipo jua zipo na utapewa nafasi kama una vigezo.
NB: Wakati waalimu wanaomba ajira je maombi walituma shuleni au wizarani? Je nafasi zikitoka majina yanatumwa shuleni kwanza au wizara ndio inatangaza kwanza alafu ndio wanaenda shule walizo pangwa? Think!
Wengi wetu tulikariri kuwa mchakato huu wa kuita watu utachukuwa sio zaidi ya mwezi mmoja au mwezi mmoja na kdogo kwa kuzingatia jinsi utumishi wa umma nakusudia secretariat ya ajira wanapotangaza tangazo la kazi hadi kuita watu huwa sio zaidi ya mwezi mmoja na nusu.
Sasa ishu imekuja hapa mchakato huu umechukua miezi mitatu ata ikifika trh 26/06/2021 itakuwa miezi mitatu kamili tokea deadline ya lile tangazo lao, na inawezekana ikawa zaidi ya hapo.
Umeupiga mwingi sana, ila golini ukapaisha, [emoji1787]Hapa ndio unakosea, hakuna serikali duniani haifanyi kazi kiivo, pamoja na mahitaji lakini pia wanaangalia uwepo fedha (bajeti), mahitaji pamoja na mipango yao hasa ya badae.
Hata kama utumishi walisema wataita watu ndani ya mwezi jua kabisa anayetoa go ahead ya kuita watu sio utumishi bali mwajiri na nadhani unajua mwajiri ni serikali(kwa kesi yenu).. na hata kama hiyo kauli ingetolewa na mwajiri/serikali basi jua wasingeeza itekeleza kama bajeti, mipango na mahitaji havijakaa sawa!
Kama nilivyosema, kwa sasa kama unazingoja basi kuwa mpole mpaka pale wao wenyewe watapoona inafaa kutangaza.
Lakini si unakaa tu aido alafu ukipata nafasi ujikute usha sahau bernoullis equation ni kitu gani au hata hazen williams au headloss ni nini... au hujui hata kutumia EPANET!
Huu ndio muda muafaka wa wewe kujiandaa technically incase hizo nafasi zikiwepo/zikitangazwa na sio kukaa kuumiza kichwa na kuilaumu serikali kwann haitoi majina!
Be patient and Goodluck y'all..!!
Hahaaa mkuu hiyo namba haipo dunianiNimekutaaaa number ya ajabu hapa jaman sio ruwasa hawa kweli et ndugu zangu +255255629562483
Unangaliajeee mkuuHahaaa mkuu hiyo namba haipo duniani
Kwanza ni tarakimu nyingi, alaf leo j.pili hakuna kazi hawawezi wakapigia watu simuUnangaliajeee mkuu
Namba ya kawaida hyo mwamba, tena ya halotel,,Nimekutaaaa number ya ajabu hapa jaman sio ruwasa hawa kweli et ndugu zangu +255255629562483
Tumetulia mkuuWakuu kwema,
Kimya sana au mshajikatia tamaa.
Ila tukumbuke ruwasa hawajapewa vote means hawataajiri mwaka huu labda bajet ya mwakaniKama bajeti ya serikali leo ndio inaanza kutumika,mambo mpk saa hv kimya?